Inawezekana Tanzania ikaingia kwenye headlines mpya kutokana na vijana wa kitanzania kuamua kuanzisha kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo kama ilivyo kwa kampuni za nje za Puma, Nike, Adidas, Umbro, Macron na nyinginezo ambazo zimekuwa zikitengeneza jezi na vifaa vya timu mbalimbali.
Kampuni ya Speshos Sport Bongo ambayo ipo chini ya umiliki ya Jeffrey Speshos, Ramadhani Munga, Jeff Lea, Muddy Sebene, Ally Kilingo na Charles Mungi ipo katika mazungumzo na vilabu vitano vya Ligi Kuu ili kuanza kuvipatia bidhaa za kampuni hiyo kuanzia msumu ujao, AyoTV imempata katika exclusive interview Jeffrey Speshos azungumzi project zao.
VIDEO: Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 vs Kagera Sugar