social network

INSTAGRAM: ‘Hakuna wakunigombanisha na Madee, ila una tatizo moja tu’>>>Babu Tale

on

Babu Tale ambaye pia ni Meneja wa kundi la Tip Top Connection leo ameutumia ukurasa wake wa Instagram kwa ajili ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mkali kutoka Bongoflevani Madee na ameyaandika maneno ambayo nisingependa ya kupite.

Leo kazaliwa baba Saida. Me namuita Madee Mademu. Kama aujui huyu sio msanii wangu ni ndugu yangu ananijua kindaki ndani na hakuna wa kunikosanisha nae hapa chini ya jua ananiumiza kimoja tu ataki nishuudie akioa wakati nina kauwezo sijui nia yake nini aisee??? Happy birthday @madeeali Mungu akupe maisha marefu‘>>>babutale

Ulimiss hii ‘Haikuwa rahisi, Jux ndio aliniambia Mimi Mars anaweza’ Quick Rocka itazame hii video hapa chini….

 

Soma na hizi

Tupia Comments