Charles Kitwanga ambaye alishawahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli, ni miongoni mwa Wabunge ambao hawajaonekana wakisimama sana kuongea bungeni.
Leo May 10 2017 Mbunge huyu wa Misungwi alisimama na kueleza ya jimboni kwake pamoja na kuonyesha utofauti kati ya alivyokua Waziri na sasa ambapo sio Waziri tena, tazama kwenye hii video hapa chini
BUNGENI: Profesa J aongelea milioni 400 anazodaiwa Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Roma Mkatoliki na wengine TAZAMA HAPA CHINI KWENYE HII VIDEO
BUNGENI: Tazama Musukuma alivyolipua Bungeni kuhusu Wabunge kwenda kwa Waganga… PLAY HAPA CHINI