Kwa wapenzi wa Soka Afrika Mashariki jina la Divock Origi haliwezi kuwa geni kwao, huyu star wa soka anayeichezea Liverpool ya Uingereza lakini asili yake ni Kenya ambako pia baba yake mzazi aliwahi kuwa mchezaji maarufu.
Baada ya kumalizika kwa game kati ya Liverpool na West Ham, Divock alizungumza na mtangazaji wa BBC Salim Kikeke na lugha iliyotumika kwenye mahojiano yao ilikuwa Kiswahili.
Nimekuwekea hapa chini Video fupi ya mazungumzo.
Mchezaji wa Liverpool @DivockOrigi mwenye asili ya Kenya akizungumza Kiswahili na mtangazaji @Salym Kikeke baada ya game dhidi ya West Ham. pic.twitter.com/OU3gfp3zTe
— millardayo (@millardayo) May 16, 2017
VIDEO: Yapo hapa Magoli yote kati ya Simba na Stand United kwenye Game ya May 12, 2017. Bonyeza play kutazama.