Mama mzazi wa mtoto Shukuru Kisonga ambaye anaishi kwa kunywa mafuta amesema amemuuguza mtoto huyo kwa miaka 16 akiwa anabadilika rangi ya mwili kila anapokosa mafuta ya kula au sukari akimpeleka sehemu tofauti kutafuta tiba wakiwemo waganga wa kienyeji.
Shukuru mwanafunzi wa Kidato cha Pili alifikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu ambako baada ya kufanyiwa uchunguzi ameanza matibabu na hali yake ikianza kuwa nzuri akiacha kutumia mafuta na kunywa uji jambo linalomfurahisha mama yake.
Mama Shukuru ameeleza mengi ambayo unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama hii video ili kujua zaidi!!!
VIDEO; Daktari aelezea ugonjwa wa mtoto mnywa mafuta na hali yake kwa sasa, Bonyeza play hapa chini kutazama