Leo ilikua itoke hukumu kwenye kesi ya Zitto Kabwe na Chadema lakini Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeahirisha kesi hiyo mpaka Jumatatu tarehe 6 Januari saa 4 asubuhi ambapo hukumu itatolewa.
Baadhi ya picha za nje ya Mahakama kuu wakati wa jioni ndio hizi.