Taarifa nilizozipokea mchana wa leo June 2, 2017 ni kutoka Bungeni Dodoma, ni taarifa ya ambayo inawahusu Wabunge wa Upinzani kuamua kutoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa Mbunge wa Kibamba John Mnyika.
millardayo.com na AyoTV zinafuatilia kwa ukaribu kupata taarifa kamili.
Wabunge wa Upinzani wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kumtoa nje John Mnyika MB, na kumzuia kuhudhuria vikao pic.twitter.com/B1yyWeP00q
— millardayo (@millardayo) June 2, 2017
Wabunge wote wa upinzani wametoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa Mbunge wa Kibamba John Mnyika #MillardAyoBREAKING pic.twitter.com/Iu76T1VUgT
— millardayo (@millardayo) June 2, 2017
Kamati ya Bunge ya Maadili itaanza kumjadili Esther Bulaya kwa kitendo cha kuhamasisha Wabunge kutoka nje ya ukumbi leo. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/1e8KXP33ky
— millardayo (@millardayo) June 2, 2017
Upinzani wasusa Vikao vya Bunge baada ya Mnyika kutolewa