Kama ulikosa time ya kuzisikiliza story 10 kubwa za siku kwenye Amplifaya ya Clouds FM leo June 20, 2017, basi usipate taabu mtu wangu kwa sababu bado haujachelewa kwa kuwa nimezikusanya zote na kukusogezea hapa katika Tweets.
#AmplifayaUPDATES "Kibiti na Rufiji hazina viwanda, nani atakwenda kuwekeza huko wakati wanauana, sisi ndio tunachelewesha maendeleo"-JPM pic.twitter.com/leW7c5P8uM
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES 'Kama kweli hili sio la kisiasa tunatarajia Rugemarila, Seth watakuwa na wengine kina Tibaijuka, Chenge"@godbless_lema pic.twitter.com/qzqun74BOz
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES Wanawake wanaobeba ujauzito kwa ajili ya wengine Nairobi wanachukulia kama wanasaidia ambao hawawezi kushika ujauzito
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES Wanawake wanaobeba ujauzito kwa ajili ya watu wengine Nairobi wanapojifungua watoto hawawaoni wala kuwashika
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES Nairobi kuna kazi ambayo mwanamke anaweza kubeba ujauzito wa mwanamke mwingine na kuna agent unamtumia kupata hiyo kazi pic.twitter.com/uHj8RlItDW
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES Timu ya Singida United imesema fedha za kufanya usajili mkubwa wanazipata kwa wafadhili mbalimbali ambao wamejitokeza pic.twitter.com/XYH9n5K62W
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES M/kiti chama cha madereva Mwanza amedai daladala ambazo zinamilikiwa na polisi wenyewe hazikamatwi tofauti na za wengine pic.twitter.com/yL7qVMbSXt
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES Jukwaa la wahariri limesema Waziri Mwakyembe amekiuka Sheria kwa kujivika mamlaka ya kimahakama kulifungia gazeti la mawio
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES "Niombe radhi kwa walemavu, kweli nguvu kubwa ilitumika, Serikali tutaweka utaratibu ili jambo hilo lisijirudie"- Mwigulu pic.twitter.com/v93kWJ9Od2
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
#AmplifayaUPDATES "kama Jemedari mkuu anapambana na makinikia nitashindwaje kupambana na hawa panya? bidhaa bandia TZ hazitaingia"-Mwijage pic.twitter.com/zUIbZTxNRg
— millardayo (@millardayo) June 20, 2017
FULL VIDEO: Rais JPM alivyotembelea Mkoa wa Pwani leo!!!