Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM saa 1:00 usiku hadi saa 3:00 usiku ikiwa na stori 10 kubwa za siku kutoka kwenye michezo, muziki, siasa na stori nyingine ambapo host wake ni mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
Sasa kama July 6, 2017 ulipitwa nimekuwekea stori 6 kati ya 10 kubwa ambazo ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hapa kupitia millardayo.com.
#AmplifayaUPDATES Jeshi la polisi limewaua wahalifu wawili ambao wanaelezwa kuwa ni miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji Rufiji Pwani
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
#AmplifayaUPDATES TPA imeingia mkataba mpya na kampuni ya TICTS utahusiana na uongezaji wa kodi kutoka dola mil 7 hadi dola mil 14 kwa mwaka
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
#AmplifayaUPDATES "Unayeweka mafuta tukikutana na wewe umeweka na hukupewa risiti una kosa, faini ni kuanzia 30,000 mpaka mil 1.5"-TRA pic.twitter.com/SwHFv0QPrF
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
#AmplifayaUPDATES TCRA wamesema wameendelea kupokea malalamiko ya wadau wakionesha kukerwa na matangazo yanayotolewa wakati wa kupiga simu
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
#AmplifayaUPDATES DC wa Korogwe, Robert Gabriel ameanzisha utaratibu wa kila kaya kujitolea kuchangia tofali 5 ili kujenga madarasa pic.twitter.com/weIoIcEkzr
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
#AmplifayaUPDATES Hakimu Kisinda amejitoa kesi ya Lema baada ya wakili wa Serikali kudai hawana imani kwa kuwa ana urafiki na mke wa Lema
— millardayo (@millardayo) July 6, 2017
Masharti manne ya TCRA kwa Makampuni ya simu Tanzania!!!
VIDEO: CUF ya Prof. Lipumba vs Maalim Seif walivyokutana Mahakamani leo!!!