Serikali ya Rais JPM imetenga kiasi cha fedha Dollar za Marekani milioni 600 katika kutatua changamoto ya maji taka katika jiji la DSM ikiwa ni baada ya maji taka kuonekana kikwazo kikubwa kwa muda mrefu sana na kupelekea Wananchi kupoteza imani na Serikali.
Naibu Waziri wa Mazingira Luhaga Mpina amesema:>>>“Zimekubalika kutolewa fedha zaidi ya Dollar za Marekani milioni 600 kwa ajili ya kushughulikia tatizo la maji taka kwa jiji la Dar es Salaam peke yake, acha mikoa mingine.” – Luhaga Mpina.
ACT Wazalendo wazungumzia kukamatwa kwa Halima Mdee na viongozi wengine!!!