Baada ya July 10, 2017 kuruka Hekaheka iliyotokea Hospitali ya Amana ikimhusisha mama aliyegoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto Njiti ambaye alipelekwa Muhimbili lakini alipoenda huko aliambiwa mtoto hayupo na aliporudi Amana aliambiwa mtoto alifariki siku aliyojifungua.
Leo July 11, 2017 issue hiyo imeendelea katika sura nyingine baada ya Mtangazaji Geah Habib kuzungumza na Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Grace ambaye alidai kwa kwa taarifa aliyopewa ni mtoto yupo Muhimbili ingawa mama anadai hana uhakika kama mtoto ni wake au la jambo ambalo limesababisha kuanzishwa uchunguzi na kufanya vipimo vya vinasaba (DNA).
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story..
HEKAHEKA: Mama ajifungua na kugoma kuondoka Hospitali baada ya kuambiwa mtoto kafa