AyoTV

Wema Sepetu alitaka kuimba wimbo mzima kwenye Play Boy -Haitham(+Video)

By

on

Msanii Haitham wiki chache zilizopita alituletea wimbo wake mpya unaoitwa ‘Play Boy’ambao amemshirikisha Wema Sepetu. Watu wengi walitamani  kusikia Wema ameimba nini kwenye wimbo huo na ilikuwaje mpaka Haitham akamshirikisha.

Kupitia EXCLUSIVE interview na AyoTV na Millardayo.com Haitham ametueleza sababu za kumuweka Wema kwenye wimbo huo na jinsi ambvyo Wema alitamani aimbe kwenye wimbo mzima.

”Tulivyomuita Wema dhumuni ilikuwa aimbe ‘Play Boy’ pae kwenye kiitikio tu lakini alivyofika studio vibe zikabadilika alitamaani aimbe wimbo mzima naipo version yake ambayo amefanya yeye mwenyewe” – Haitham Kim

Pamoja na hayo Haitham ameongelea uhusiano wa wasanii wa kike kwenye industry, Wasichana kuweka kucha za bandia, maana ya tatoo zake tano alizochora, mahusiano ya mapenzi na vingine vingi. Bonyeza Play kutazama hapa chini>>>

Video: Huyu ndiye msanii mpya kwenye label ya Vanessa Mdee (Mdee Music)>>>

Soma na hizi

Tupia Comments