August 8, 2017 Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwijage alifanya mkutano na Waandishi wa Habari Dodoma na kueleza hatua ya Serikali kubinafsisha viwanda vilivyoshindwa kuendeshwa na wawekezaji nchini.
Waziri Mwijage amesema “Viwanda vifuatavyo umiliki wake unafutwa na unatafutiwa wamiliki wengine kutokana na sababu kuwa wameshindwa kuendeleza viwanda hivyo ni Kiwanda cha Polysack, Kiwanda cha Kilimanjaro Textile Mills cha Arusha, Kiwanda cha Mkata Saw Mills, Kiwanda cha Korosho Lindi“
“Kiwanda cha Taifa cha Chuma (National Steel Corporation), Manawa Ginnery, Kiwanda cha Tembo Chipboard, Mang’ula Mechanical Tools, Mgodi wa Pugu Kaolin, Dabaga Tea Factory”
Unaweza kuendelea kumsikiliza Waziri Mwijage kwenye hii video hapa chini….
MAGAZETI: Mahakama yagoma kumtoa Manji, Makubaliano TEF, Makonda mjadala mpya