Taarifa zilizonifikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.
Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia na enelea kuzifuatilia kupata taarifa zaidi…
#BREAKING Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la DC Tarime Glorious Luoga. #MillardAyoUPDATES. pic.twitter.com/DAdBe3NZxi
— millardayo (@millardayo) August 19, 2017