Breaking News
-
BREAKING: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara amefariki Dunia “alikuwa na changamoto ya upumuaji”
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda amefariki Dunia jana saa tano usiku...
-
BREAKING: Usiku huu Mbunge Lema akamatwa na Polisi apelekwa Singida
Habari zilizotufikia hivi punde kutokea Arusha Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekamatwa...
-
BREAKING: Rais Magufuli amtumbua Balozi wa Tanzania nchini Canada
Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi...
-
LIVE: Ibada ya kuaga mwili wa Mtanzangaji Isaac Gamba Hospitali ya Lugalo DSM
Muda huu kupitia AyoTV mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa idhaa ya kiswahili ya DW,...
-
BREAKING: IGP SIRRO afika eneo MO Dewji alipotelekezwa
Tazama LIVE Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Wanahabari...
-
BREAKING: Mohammed Dewji apatikana akiwa hai, huyu hapa akiongea (+video)
Mfanyabiashara Bilionea wa Tanzania Mohammed Dewji amepatikana akiwa hai Dar es salaam usiku...
-
BREAKING: IGP SIRRO ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Muda huu ndani ya AyoTV tazama LIVE Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...
-
BREAKING: Maamuzi ya CHADEMA kwa wabunge Kubenea na Komu
Muda huu ndani ya AyoTV tazama LIVE, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wanazungumza na Waandishi wa Habari...
-
BREAKING: Lema akizungumzia tukio la MO DEWJI kutekwa
Leo October 16 2018 Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anazungumza na Waandishi...
-
BREAKING: Familia ya MO Dewji yavunja ukimya yatangaza dau la BILIONI 1
Muda huu ndani ya AyoTV tazama LIVE Familia ya Mfanyabiashara MO Dewji inazungumza...
-
BREAKING: Producer Pancho Latino amefariki Dunia leo
Producer Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Prince Dullysykes na Hermy B amefariki,...
-
BREAKING: Mbowe anazungumza na Waandishi wa Habari
Leo September 21 2018 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe anazungumza na Waandishi...
-
BREAKING: CCM wanazungumza na waandishi wa habari
Leo September 18 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi...
-
BREAKING: Baada ya matokeo ya Uchaguzi Ukonga, RC Makonda, Mambosasa wanazungumza
Baada ya matokeo ya Uchaguzi katika Jimbo la Ukonga, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
-
BREAKING: CCM wanaongea na waandishi wa Habari
Muda huu kupitia AyoTV Chama cha Mapinduzi CCM Wanazungumza Waandishi wa Habari, Bonyeza PLAY hapa...
-
BREAKING: TAKUKURU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Leo September 14 2018 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Generali John Julius...
-
BREAKING: Baba mzazi wa Profesa Jay afariki Dunia
Leo September 7, 2018 Baba Mzazi wa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof....
-
BREAKING: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi TAKUKURU, amteua Diwani
Leo September 6, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...
-
FULL VIDEO: Makontena ya Makonda yakipigwa Mnada DSM leo Sept. 1
Baada ya mjadala wa ‘Makontena ya Makonda’ kwenye Bandari ya Dar es salaam,...
-
BREAKING: Mbowe anaongea na Waandishi wa Habari CHADEMA muda huu
Muda huu kupitia AyoTV na millardayo.com Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo...
-
BREAKING: Kamanda Mambosasa anazungumza na Waandishi wa Habari
Muda huu kupia Ayo TV, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa...
-
BREAKING: ACT Wazalendo wanazungumza na Waandishi wa Habari
Muda huu kupitia AyoTV Chama cha ACT Wazalendo wanazungumza na Waandishi wa Habari, Bonyeza PLAY hapa...
-
BREAKING: Mwakyembe aongelea CloudsTV, AzamTV na wengine kuzimwa kwenye ving’amuzi
Kama ni mfatiliaji kwa siku za karibuni utagundua TV Stations mbalimbali za Tanzania...
-
Jerry Muro aingia barabarani mwenyewe, asimamisha magari 10 “kazi niliyotumwa ni hii” (+video)
millardayo.com :: Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ameingia barabarani na kukamata...
-
LIVE: Mbunge wa Liwale C.U.F ajitoa, ahamia CCM (+video)
Kutoka Lumumba Dar es salaam sasa hivi Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru...