Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche leo August 21, 2017 ameripoti Kituo cha Polisi Sirari na baadaye kuelekezwa kwenda Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya ambako pia aliambiwa aende Wilaya ya Kipolisi Tarime Mjini Kisha kurudishwa Mkoani.
Tazama kwenye hii video kuna kila kitu kilichojiri wakati Mbunge John Heche akiwasili Polisi ambapo palitokea mabishano baina yake na Maafisa wa Polisi.
Hali ya Ester Bulaya akiwa Hospital baada ya kuugua akiwa rumande…tazama hapa chini!!