Waziri wa Viwanda Charles Mwijage ametoa angalizo na kutoa agizo kwa Shirika la Viwango Tanzania ‘TBS’ kutokagua mzigo wowote wa kirinka kutoka nje ya nchi ambao unaingizwa nchini.
Waziri Mwijage amesema kuanzia sasa TBS hairuhusiwi kukagua bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi mpaka pale mamlaka iliyo juu yake itakapoamua lakini vinginevyo hakuna kukagua.
MENGINE YALIYOIBUKA KIFO CHA ALIYEMKAMATA MALKIA MENO YA TEMBO…TAZAMA KWENYE HII VIDEO!!!
EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Jakaya Kikwete Msoga…