Kwenye mitandao ya kijamii kumeibuka ishu ya Chidi Benz na kuwa gumzo baada ya rapper huyo kunukuliwa akisema kwamba amefanya kolabo na 2pack, Chidi ambae aliathirika na utumiaji wa dawa za kulevya amenukuliwa pia akisema atamleta 2pac Tanzania kwasababu hajafa kama wengi wanavyodhani.
Kauli hiyo ambayo amenukuliwa akiitoa East Africa TV imewafanya watu wengi waamini kwamba Chidi Benz hayuko sawa kwa sasa huku miongoni mwao wakilihusisha hilo na utumiaji wa dawa za kulevya, ambapo Msanii Madee ali-comment na kuandika >>> ‘ndio maana sitaki kuvuta sigara’ – Madee
Unaweza kubonyeza play hapa chini kufahamu ilivyokua
VIDEO: Young Dee kafunguka kuhusu kumpeleka Amber Lulu Polisi, bonyeza play hapa chini kumtazama..
VIDEO: Wolper kamuongelea mpenzi mpya, asema kwanini ameamua kumpost Instagram wakati alisema hatompost Mwanaume mwingine baada ya kuchana na Harmonize, mtazame hapa chini
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA