Headline za tukio la kushambuliwa Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA zimekuwa zikiendelea tangu tukio hilo lilipotokea September 7, 2017 ambapo moja ya headline kubwa ya karibuni ni kuhusu Jeshi la Polisi kuagiza dereva wake aripoti Polisi.
Sasa Ayo TV na millardayo.com zinaye Wakili wa kujitegemea ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Smile Stars Attorneys, Leonard Manyama ambaye anatueleza kuhusu sheria ambayo inatumika katika kuwahoji watu walioshuhudia tukio kama ilivyo kwa dereva wa Tundu Lissu.
KUHUSU TUNDU LISSU! ADC YALAANI, YAPAZA SAUTI
EXCLUSIVE: Mdogo wake Tundu Lissu azungumzia tukio la Lissu kushambuliwa