Watu zaidi ya 140 wameripotiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotokea usiku wa kuamkia leo Mexico na tayari msaada wa haraka umeanza kutolewa kwa waathirika.
Tetemeko hilo la kipimo cha 7.1 limesababisha pia uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu na inaelezwa kuwa tetemeko kubwa la kiwango hiki liliwahi kutokea miaka 32 iliyopita ambalo liliua maelfu ya watu.
Ulipitwa na hii?Tamko la Jukwaa la Katiba Tanzania kuhusu Katiba Mpya
Hii je? “Wabunge tuwe makini na usalama wetu…” – Spika Ndugai