Ishu ya Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa imekua gumzo sana Tanzania na sasa ni zamu ya kusikia ushauri wa Baba Mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul mwenyewe akimshauri mwanae, tazama kwenye hii video fupi hapa chini
BAADA YA KUZAA NA HAMISA: Zari amuonya Diamond “USINIJARIBU” ……bonyeza play hapa chini