Jaji Mkuu mpya wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma jana September 21, 2017 alikutana na Waandishi wa Habari kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa na kuapishwa kwake kuchukua nafasi hiyo aliyokua anaikaimu baada ya aliyekuwa Jaji Mkuu kustaafu.
Jaji Mkuu pamoja na mambo mengi aliyozungumza katika mkutano wake wa kwanza na Wanahabari, alizungumzia suala la Sheria ya makosa ya mtandao ambao wengi wamekuwa wakiipinga na kusema Tanzania haihitaji, lakini Jaji Mkuu amekuwa na mtazamo tofauti na hakubaliani nao
EXCLUSIVE: Mbunge wa CHADEMA baada ya kuachia huru na Mahakama