Wamasai wanatajwa kuwa ni miongoni mwa makabila yanayoongoza kwa kuhifadhi jadi na katika Tamasha la Ngoma za Jadi Mbeya weekend walikuwa miongoni mwa waliojitokeza mbele ya Naibu Spika Dr Tulia Ackson.
Tamasha hilo linasimamiwa na Taasisi ya Tulia Trust ambapo kulikuwa na mashindano ya ngoma za jadi kupitia vikundi mbalimbali kutoka mikoa tofauti ambapo pikipiki 10 zilitolewa pesa taslim ikiwa zaidi ya Tsh Milion 51.
Miongoni mwa burudani iliyowavutia wengi ni pamoja na hii ya Wamasai…itazame hapa!!!
“Walitishia kutupiga risasi wakachukuwa ng’ombe wetu” – Wanakijiji