Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella na Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula wameungana kuwatafa wananchi wa kata ya Nyegezi mtaa wa Ibanda kutatua migogoro kwa kuainisha maeneo ya wananchi na Serikali huku baadhi ya wananchi walipatiwa maeneo yao.
Hata hivyo amewaambia wananchi wote waliojenga maeneo ya barabara watoke maeneo hayo ili kupisha ujenzi wa barabara huku akiagiza wathamini waende eneo hilo na kufanya zoezi la uthamini wiki ijayo kwa ambao bado hawajafanyiwa kisha taratibu za fidia zianze haraka.
Ulipitwa na hii? Mkuu wa Mkoa aagiza Dereva azunguke na Ambulance bila Mgonjwa
Hii je? MBOWE KUHUSU WANAOJITOKEZA KUMPELEKA LISSU NJE YA NCHI