Habari za Mastaa

Video: Zari na Diamond, ‘mahaba niue’

on

Ni Sept 24, 2017 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mzazi mwenza wa Diamond Platnumz ajulikanaye kama Zari the Boss Lady, sasa headlines zinazoendelea kumilikiwa na wakali hao mitandaoni leo September 25, 2017 ni kuonekana wapo karibu kwenye penzi lao tofauti na mashabiki walivyotegemea.

Ulipitwa na hii? Alichokifanya Diamond Platnumz kwenye birthday ya Zari leo

Hii je? ”UKINIACHA NITAKONDA” HAMISA MOBETO

Soma na hizi

Tupia Comments