Taifa la Tanzania litaingia katika historia mpya kwa mara ya kwanza mwaka 2019, hiyo inatokana na shirikisho la soka barani Afrika CAF kuikubalia Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali za michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17).
Kuelekea maandalizi hayo waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo DR Harrison Mwakyembe ameeleza kuwa wamejipanga kuelekea michuano hiyo na Tanzania haiwezi kunyang’anywa uenyeji huo kama ilivyokuwa kwa Kenya.
MAGOLI YOTE: Mbao FC vs Simba FC September 21 Mwanza (2-2)