Ukeketaji unaendelea kutajwa kama tatizo kubwa kwa jamii nyingi za Kiafrika ikiwemo Tanzania licha ya kuwepo kwa kampeni mbalimbali na jitihada za kuupiga vita kwani ni kitendo cha kikatili tena kilicho kinyume na Haki za Bianadamu.
Kwenye jamii za Wamaasai inadaiwa kuwa ipo mbinu mpya ya ukeketaji ambapo watoto wadogo hadi wa mwenzi mmoja wanakeketwa na hii inalet ugumu kuwabaini wanaotenda matendo haya kwani mara nyingine hata baba wa mtoto anakua hafahamu alichotendewa mwanaye.
Ayo TV na millardayo.com zinaye Elizabeth Lesitei ambaye ameeleza hali ilivyo huko Monduli.
https://youtu.be/HD25rGUwIUQ
BREAKING: Mahakama imemuachia huru Yusuf Manji kesi ya dawa za kulevya