HISTORIA ni nzuri hasa inapohifadhiwa vizuri ambapo huweza kuishi miaka mingi kwa kurithisha kutoka kizazi kimoja hadi kingine huku ikihifadhi utamaduni wa eneo husiaka, na kwa Tanzania, yapo maeneo mengi ambayo yana historia kubwa, nzuri na ya kuvutia.
Moja ya maeneo hayo ni pamoja na KITANZINI lililopo katika Mkoa wa IRINGA ambalo linatajwa kuwa maarufu sana kutokana na kuhifadhi historia ya miaka mingi. Eneo hilo ni maarufu kwa sababu lilitumiwa na WAKOLONI kunyongea watu weusi kipindi cha Ukoloni. Ayo TV na millardayo.com zimetembelea eneo hilo.
Shule iliyozawadia magari wanafunzi wake, wametajwa TOP TEN Kitaifa