Usiku wa Oct 13, 2017 msanii Ommy Dimpoz alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa Burudani katika jukwaa la Fiesta Classic iliyofanyika Mbeya ambapo mashabiki wake hawa kuacha kumshangilia wakati alipokuwa akiimba nao.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Full Video
BALAA LA ASLAY Fiesta Classic MBEYA aimba na mashabiki mwanzo mwisho