Mapenzi yanapoisha na uhusiano kuvunjika huwa inaumiza na hiyo inapelekea wengine kuwekeana kinyongo, kutosalimiana au kutotaka kabisa hata kumsikia mwenzake.
Wolper aliwahi kusema kwenye Interview na ON AIR WITH MILLARD AYO kwamba huwa hapendi kumkumbuka na kumpa nafasi Mwanaume alieachana nae haswa Mwanaume aliempenda kisawasawa ila inaonekana sasa hivi maumivu yameondoka na hana kinyongo na Harmonize.
Saa kadhaa zilizopita alitumia Instagram yake kuusifia huo wimbo kwa kuandika “Haka ka nyimbo kazurii sana na video pia ndio usiseme, bwana Raaaaaj umejua kunyoosha, kama bado hujaangalia video ya haka ka wimbo pita kwenye bio ya @Harmonize_tz #uliemchokozakaja #shulala #NaukinibipuTuNakupigia”
TUJIKUMBUSHE KIDOGO: Mapenzi ya Wolper na Harmonize yalivyokua motomoto
HATIMAE !! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho
HUTAKI KUPITWA? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. bonyeza page zifuatazo ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> APP YA MILLARD AYO pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE