Ni miezi saba toka mzazi mwenzake Zari, Ivan Ssemwanga kufariki dunia ambapo kama angekuwa hai siku ya leo December 12, 2017 angekuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa na hivyo Zari kuamua kuadhimisha siku hii kwa kupost maneno yenye majonzi kupitia mtandao wake wa snapchat.
Na huu ndio ujumbe wa Zari kwa marehemu Ivan Don“heri ya siku ya kuzaliwa Don, umeondoka lakini kamwe hautosahaulika, tunakukumbuka, maisha hayako sawa tena,watoto wanakukumbuka, tunakuombea kila siku, endelea kupumzika kwa amani”
Ulipitwa na AUDIO:LIST YA WASANII UTAKAOWASIKIA KWENYE ALBUM YA DIAMOND
VIDEO: ZARI AFUNGUKA BAADA YA MSIBA WA IVAN THE DON, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA