Baada ya maneno kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mama Diamond kuonekana South Africa akiwa na mwanaume anayesemekana kuwa ndiye mumewe huku picha za wawili hao wakiwa na watoto wa Diamond zikienea kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakisubiri Baba Diamond atazungumza nini,.?
Kwenye Exclusive Interview na millardayo.com na AyoTv Baba mzazi wa Naseeb Abdul ( Diamond Platnumz ) ambaye amezungumza na kuelezea kuhusu hilo na kuwataka watu kuto kumuhusisha na Mama Naseeb kwani wao wamebaki kama Kaka na Dada na wanawasiliana vizuri kabisa.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Baba Diamond akielezea..
BABA DIAMOND – “SIJAWAHI KUONGEA NA ZARI, WEMA NA HAMISA NIMEONGEA NAO”