Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2017, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini , Leo December 27, 2017 ameongea na AyoTv na millardayo.com kuhusu mambo mbalimbali katika maisha yake ikiwemo tukio lililowahi kumpata kipindi cha Krismass la kupata ajali na kupasuka kichwa.
Askofu Kilaini pia amewataka Watanzania katika kipindi hiki tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2017 na kuingia 2018 kuhakikisha tunasameana ili kuanza mwaka mpya vizuri, “mwaka huu kuna mambo mengi sana yametendeka, sasa samehe na anza upya, usipeleke vinyongo, shida zako mwaka unaokuja”.
BREAKING: M/KITI JUMUIYA YA WAZAZI (CCM) DSM AMJIBU ASKOFU KAKOBE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA