Top Stories

Tamko la Mwenyekiti UVCCM kwa wanaomsema Rais

on

Leo December 27, 2017 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi amefanya ziara kwa mara ya kwanza Visiwani Zanzibar na kuongea na wanachama wa CCM Visiwani humo juu ya watu wanaotoa matamko juu ya Serikali na Rais.

“Ni marufuku kulinda heshima za watu wanaovunja heshima za viongozi wa Taifa letu, atakayevunja heshima ya Rais na heshima yake ivunjwe, kwenye hili ije Polisi ije Mahakama tutakula sahani moja, hata kama ni mwana CCM,” – Mwenyekiti UVCCM

BREAKING: M/KITI JUMUIYA YA WAZAZI (CCM) DSM AMJIBU ASKOFU KAKOBE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments