Tunapoelekea mwisho wa mwaka 2017, Ripota wa Ayo TV na miilardayo.com ametembea Yard za magari mkoani Arusha ili kujua aina gani za magari zimenunuliwa sana kwa mwaka huu na zipi hazijanunuliwa na gharama za zake.
Baadhi ya gari zinazotajwa kununuliwa sana mwaka huu ni pamoja na Suzuki Carry, Al Fahad, Noah, ambazo bei zake ni kuanzia Tshs Milion 15 hadi 16, Raum, pamoja na Harries Lexus, huku gari ambazo zimekosa wateja wengi ni Ford Ranger na VX.
Inaelezwa kuwa Ford Ranger inapatikana kuanzia Tsh Milioni 80 wakati VX inauzwa kuanzia Tsh Milioni 60 na kwa mwaka huu hayajauzika sana kutokana na bei zake kubwa na uhitaji wake mkubwa wa matumizi ya mafuta.
Polisi wamepokea msaada wa MILIONI 100