fB insta twitter

INSTAGRAM: Maneno 13 ameyaandika Tundu Lissu leo

on

Kupitia kwenye Instagram ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Nairobi Nchini Kenya baada ya kushambuliuwa kwa risasi na watu wasiojulikana, Tundu Lissu ameyaandika maneno kumi na tatu kwa kuwashukuru wote kwa maombi juu yake.

tundulissutz>>>Ninawashukuru kwa sala na maombi yenu. Sasa ninaweza kukaa bila ya kuegemea kitu.

Soma na hizi

Tupia Comments