December 9,2017 katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Rais John Pombe Magufuli alitoa msamaha kwa baadhi ya wafungwa waachiwe huru akiwemo Babu Seya na mwanae Papii Kocha kitu ambacho hakikutegemewa na wengi.
Papii Kocha ameamua kuchora tattoo ya jina la Rais JPM katika mkono wake wa kulia na wengi kutafsiri kitu hicho kama shukrani zake kwa Rais na kamwe Papii Kocha hatomsahau kwa kuwatoa gerezani yeye pamoja na baba yake Babu Seya baada ya kutumikia kifungo cha maisha jela kwa miaka 13.
Ilikupita hii ya Zari kufunga mwaka na ujumbe kwa wanaomdis mitandaoni???