Leo January 9, 2018 Millardayo.com na AyoTV imezungumza na Mwanasheria Jebra Kambole kuhusu Sheria mbalimbali ikiwemo ya kutoa lugha ya matusi ambapo amesema mtu akikutwa na hatia anaweza kufungwa hadi miezi sita jela.
Uliikosa hii ya taka za maboksi kuwa dili nchini? unaweza kuiangalia video hii hapa chini