Rayvanny kaelezea namna ambavyo alimpeleka Maromboso WCB ambapo kasema kuwa Maromboso alifika mahali akawa hataki kabisa muziki ndipo yeye akamtia moyo na kumwambia kuwa anaweza kufanya na ndipo Rayvany alipomfuata Diamond na kumshawishi kuhusu Maromboso.
Rayvanny amesema kuwa “Kila mtu anafungu lake na muziki ni bahati, nimeshukuru sana Maromboso kuja na mimi nilikuwa ni chachu ya Maromboso kuja Wasafi kwa sababu alikuwa hataki kabisa maswala ya muziki,”
“Mimi ndiye nilimfuata na kumwambia mwanangu unaweza kufanya na mimi nikaongea Diamond hasa ikawa ngumu wao kuonana ikabidi niamke asubuhi kumfuata maromboso kwao na kumleta WCB” – Rayvanny
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza RAYVANNY..
VIDEO: Wema alivyomuita Diamond kwenye Stage