Siku ya February 2,2018 ziliripotiwa taarifa za kifo cha msanii Radio kutokea kwenye kundi la Good lyfe nchini Uganda ikiwa ni baada ya wiki mbili kulazwa ICU baada ya kupigwa na watu wasiojulikana katika moja ya kumbi za starehe nchini Uganda.
Ulipitwa na taarifa kuhusu kifo cha Radio wa Uganda??