Leo February 7 2018 Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas amezungumza na waandishi wa habari na kuzungumzia ripoti ya hali ya uchumi wa Tanzania na kusema unaendelea kuwa imara.