Kama utakumbuka kipindi cha nyuma Idris Sultan aliwahi ku-post picha akiwa amevaa nguo ya ndani yenye brand ya Calvin Klein ambapo watu wengi walihisi huwenda akawa amelipwa pesa nyingi kutokana na ukubwa wa brand hiyo.
Sasa kwa mara ya kwanza mchekeshaji huyo amezungumza na kuelekezea ilikuaje mpaka akapata dili hilo na Je alilipwa au..? ambapo ukweli ni kwamba hakulipwa chochote, msikilize hapa chini akielezea kwa kubonyeza PLAY
SHILOLE “Sitakubali Uchebe aoe Mke wa Pili kwani mimi nina mapungufu gani..?“