Mwimbaji Staa wa Tanzania Vanessa Mdee amekaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO na kuongelea ishu mbalimbali ikiwemo Album yake ya Money Mondays, Status ya uhusiano wake, kuolewa na mengine.
Vee ambae anatimiza umri wa miaka 30 mwaka huu amesema hajui mipango ya Mungu lakini hayuko tayari kuwa na Mtoto kwa sasa labda baadae kidogo, anachotaka sasa hivi ni kutimiza ndoto zake za kufika mbali kimuziki.
Kingine anachotaka Vee ni kuutendea haki mkataba wa Universal, kushinda Grammy na vilevile kuona vichwa vyake vya MDEE MUSIC Brian Simba na Mimi Mars vikifika mbali zaidi kimuziki….. mtazame zaidi kwenye hii EXCLUSIVE hapa chini
VANESSA MDEE INTERVIEW: Historia yake, yeye na Jux na mengine…
VIDEO: Watoto wa Kitanzania walivyocheza fainali ya Dancers kwa Vanessa Mdee, bonyeza play hapa chini kutazama