Kijana aliyedaiwa kukatwa na mapanga baada ya kumshika mbuzi ambaye alikuwa akitumika katika tambiko kwenye msiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kusema hakumshika mbuzi huyo bali walipishana kauli na mtu na baadae kwenda kuchukua panga nakisha kumkata.
AyoTV imempata Kijana huyo aliyejulikana kwa jina la James Malya katika kata ya kibosho, Kilimanjaro na kusema hakuwahi kuwa na ugomvi na aliyemkata mapanga.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama..
CP Marijani atoa taarifa ya mwezi, azungumzia kifo cha Akwilina