Bila shaka, kila mwanamke anapenda nyumba yake iwe nzuri na ya kuvutia. Wataalamu wa urembo na mitindo ya kupamba nyumba, wanashauri kuwa mwanamke anawe na vitu hivi vifuatavyo nyumbani kwake, kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.
1. Shelfu ya vinywaji
2. Chupa za mishumaa
3. Seti ya masufuria na vikaangio
4. Meza ya kahawa
5. Mapazia mazuri
6. Seti ya glass za mvinyo
7. Meza ya chakula
8. Tray
9. Taa ya urembo
10. Shelfu la vitabu
‘Kuna kikundi kimetumia mtandao wa Telegram kuhamasisha maandamano’-Polisi Makao Makuu