Usiku wa March 15, 2018 Muigizaji Wastara ambaye hivi karibuni amerejea kutokea nchini India alipokuwa akifanyiwa matibabu ya mguu wake, amezungumza na waandishi wa Habari kuhusu safari yake ya Sweden anayosafiri usiku wa leo akiwa kama Balozi ambapo ameelezea kwanini safari hiyo imekuja mapema toka arejee kutoka India kutibiwa.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama WASTARA akielezea..
“Sijawahi kulia shida kwa Wema, Lulu kafungwa na Jamhuri” Mama Kanumba