Waziri wa jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Kenya Peter Munya amesema ifikapo mwaka 2050 nchi za Afrika Mashariki zitakuwa zinazalisha bidhaa zake nakuuza nje tofauti na sasa wanavyofanya
Akizungumza katika kongamano la baraza la vyuo vikuu vya Afrika mashariki linalofanyika jijini Nairobi Nchini Kenya amesema nchi hizo kwa sasa zimekuwa zikipata changamoto ikiwemo kuibiwa tafiti zinazofanywa.
Kwa upande wa kaimu makamu mkuu wa chuo cha sayansi na teknolojia cha Nelson Mandela Profesa Carol Njau ameongeza kwamba tafiti nyingi zimekuwa zikiishia kwenye machapisho bila kufanyiwa kazi.
FULL INTERVIEW: Mtoto gumzo Anthony Petro kaongea tusiyoyajua
https://youtu.be/Pf3ZkeDhaEA