Kutana na Ebitoke pamoja na Bwana Mjeshi wakiongelea ukimya wao wa kutoonekana mara kwa mara kama ilivyozoeleka kwenye mitandao ya kijamii ambapo wali-trend na vichekesho vyao na wameyasema hayo kwenye Exclusive interview na Ayo Tv.
Je Mama Ashura ndio sababu ya wao kukaa kimya?? Au wamefulia kama inavyosemekana na baadhi ya mashabiki?? Majibu yote hayo anayo Ebitoke na Bwana Mjeshi.
Ulipitwa na member mwenzake Prof Jay aeleza alivyoacha matumizi ya dawa za kulevya??