Vanessa Mdee ni miongoni mwa mastaa ambao walichukua headlines kwenye mitandao ya kijamii siku chache zilizopita kutokana na mavazi yake aliyovaa na ali-share picha ya mavazi hayo kupitia ukurasa wake wa instagram.
Kutokana na mavazi aliyovaa Vanessa baadhi ya wachekeshaji walitengeneza vichekesho kutokana na nguo hiyo na kushare kwenye page zao za instagram na comments zikawa nyingi kuhusiana na hilo ila leo March 24,2018 Vanessa Mdee ameonekana kukubaliana na utani ambao ulikuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mavazi yake bila kujali kama anadhalilishwa.
Mama Ashura ndio sababu ya ukimya wa Ebitoke na Bwana Mjeshi? Wazungumza hapa