Hii ni version ya pili baada ya ile ya kwanza iliyotoka February 13 2013 kutoka kwa Madee,Hii wameshirikishwa P Unit kutoka 254 Kenya,Production ni ile ile ya Marco Chali toka Mj records.
Millardayo.com inakupa nafasi ya kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa kabla hujaisikiliza sehemu yoyote.
Bonyeza play kusikiliza.